Kumekuwa na tetesi.. story za mitandaoni ni kwamba msanii Diamond Platnumzhayuko kwenye maelewano mazuri na rafiki yake msanii Ommy Dimpoz, lakini wote wakiulizwa wanakataa kwamba hakuna ukweli wowote.
Soudy Brown akafikishiwa story nyingine kwamba mastaa hao walikutana lakini hawakusalimiana, huku wengine wakisema kwamba Mwasiti amejaribu kuwapatanisha lakini ilishindikana.
Soudy alimtafuta Dimpoz na kumuuliza ishu hiyo, jamaa kasema alikuwa hajui kamaDiamond alikuwa eneo hilo na kama angemuona lazima wangeongea… hawana ugomvi wowote kwa hiyo ishu ya Mwasiti kuwapatanisha haipo.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





