
Hii kitu imenitokea sana mara nyingi
Napenda kudate na wanaume maarufu
tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na
mwanaume maarufu najickia nipo
salama sana hata kama hanisaidii chchte
nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso
na jina hapa town
Tatz nikiwa na mtu hata kama ananijali
na anasifa zote lkn hana jina nakuwa
mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo






