Wema Sepetu.Diamond Platnumz na Wema Sepetu ni mastaa ambao wanaongelewa sana na kila kukicha wanatengeneza Headlines katika magazeti ya Tanzania.
Katika Kipindi cha TAKE ONE cha Zamaradi, Wema Sepetu kafunguka namna ambavyo alitamani kuzaa na Diamond Platnumz.
Wema Sepetu amesema:”Nilikuwa natamani siku moja kupata mtoto na Diamond(Naseeb) kwa sababu i told you he was my man ambae nimetokea kumpenda tu hivyo, its done lakini ukweli upo and am not fake and nilikuwa natamani sana that is what i wanted, and tumehangaika wote, yeye anajua the hustle and nimehangaika sio mahospitalini, nimehangaika sio kwa madawa haya ya mitishamba sijui nikisikia Dokta nani, sijaenda kwa several doktas kwa sababu nimeshakata tamaa people telling me am stilling too young kukata tamaa but kwa sababu ya zile hustles nyingi nimechoka”
Katika Kipindi cha TAKE ONE cha Zamaradi, Wema Sepetu kafunguka namna ambavyo alitamani kuzaa na Diamond Platnumz.Wema Sepetu amesema:”Nilikuwa natamani siku moja kupata mtoto na Diamond(Naseeb) kwa sababu i told you he was my man ambae nimetokea kumpenda tu hivyo, its done lakini ukweli upo and am not fake and nilikuwa natamani sana that is what i wanted, and tumehangaika wote, yeye anajua the hustle and nimehangaika sio mahospitalini, nimehangaika sio kwa madawa haya ya mitishamba sijui nikisikia Dokta nani, sijaenda kwa several doktas kwa sababu nimeshakata tamaa people telling me am stilling too young kukata tamaa but kwa sababu ya zile hustles nyingi nimechoka”
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






