Mastaa na maisha yao nyuma ya pazia, mengine ni haya nimeyajua leo toka kwa wakali wa Nigeria, Peter na Paul watoto wa Marehemu Chief Moses Okoye… wamesema toka mwaka 2007 hawaendi kanisani, kisa unajua ni nini?
Jamaa hao ambao kwa pamoja dunia inawajua kama P Square wameingia kwenye Headlines baada ya kufanyiwa Interview na kuyafunua mengine kwamba hawajaenda Kanisani toka mwaka 2007 kwa vile ilikuwa wakiingia tu macho ya watu wote yanakuwa kwao!!
“Kila mara tukiingia Kanisani macho ya watu wote yanakuwa kwetu, wanaacha kumsikiliza Mchungaji.. wanaacha kusali wanaanza kutushangaa“>>> P Square.

“Tuliona sio vizuri.. ni kama tulikuwa tunasababisha watu waache kufanya kilichowapeleka Kanisani, tukaamua tuache kabisa kwenda Kanisani… Watu wote ni sawa mbele za Mwenyezi MUNGU, sio kitu kizuri watu wakasahau kusali kwa sababu yetu”—P Square.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






