STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford. STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford amewaasa wasanii kuwa wasigombane na kuwekeana mabifu kisa siasa kwani baada ya mchakato huo watarudi kukaa pamoja na kufanya kazi zao kama kawaida.
Akipiga stori na Ijumaa, Shamsa alisema mastaa kwa sasa wanagombana na kutoleana maneno machafu, kitu ambacho si kizuri kwa kazi zao kwani wote wanategemeana.
“Hiki ni kipindi cha mpito tu, mimi nawashauri mastaa wenzangu wasifikishane pabaya kisa siasa, tushindane kwa sera kupitia vyama vyetu lakini si kugombana na kutoleana maneno machafu, kesho na keshokutwa najua tutakutana tu kwenye kazi zetu tena,” alisema Shamsa
“Hiki ni kipindi cha mpito tu, mimi nawashauri mastaa wenzangu wasifikishane pabaya kisa siasa, tushindane kwa sera kupitia vyama vyetu lakini si kugombana na kutoleana maneno machafu, kesho na keshokutwa najua tutakutana tu kwenye kazi zetu tena,” alisema Shamsa
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






