Saratani
Utafiti wa kampuni moja ya Sweden uliofanyiwa watu milioni 5 umeonekana kuthibitisha nadharia kwamba urefu wa mtu na hatari za ugonjwa wa saratani zina uhusiano.Utafiti huo umebaini kwamba watu warefu wana hatari ya kushikwa na saratani ya matiti pamoja na ile ya gozi miongoni kwa magonjwa kadhaa ya saratani.Matokeo yake yalibaini kwamba kwa kila ziada ya sentimita 10,wakati mtu anapokuwa mtu mzima hatari za kushikwa na saratani huongezeka kwa asilimia 18 miongoni mwa wanawake na asilimia 11 miongoni mwa wanaume.

Mgonjwa wa saratani
Lakini wataalam walisema kuwa utafiti huo haukuangazia hatari nyingine ambazo watu warefu hawafai kuwa na wasiwasi nazo.
Tafiti za awali zimeonyesha uhusiano kati ya urefu wa mwanadamu na hatari za kushikwa na ugonjwa wa saratani,ijapokuwa haijulikani ni kwa nini.
Ripoti za awali za utafiti huo zilizowasilishwa katika mkutano wa wagonjwa wa watoto,watafiti kutoka taasisi ya Karolinska mjini Stockholm walielezea vile walivyolifuatilia kundi moja la watu wazima kwa zaidi ya miaka 50.

Saratani
Wanawake warefu wana hatari kubwa ya hadi asilimia 20 ya kupatikana na saratani ya matiti huku wanaume na wanawake warefu wakiwa na hatari ya juu ya kupatikana na saratani ya ngozi kwa asilimia 30.BBC
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






