Hamisi Taletale almaarufu kama Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond Platnumz na wasanii wote katika label ya WCB hivi karibuni alipata mualiko wa ftari yeye na management nzima ya WCB. Hawakuwa ni WCB pekee tu ambao walialikwa katika hafla hiyo bali na mastaa mbalimbali walipata mualiko huo akiwemo hit maker wa single ya Aje (Alikiba).
Katika hali ya ubinadamu na pasipo na tatizo lolote Meneja wa Diamond (Babutale) alitokea kupiga picha ya pamoja na Alikiba msanii ambaye ana upinzani wa kibiashara na Diamond Platnumz ambaye anasimamiwa na babu Tale.

Picha hiyo ilizua gumzo kubwa katika mitandao ya kijamii kwa mashabiki wa pande zote mbili kuwa na sintofahamu inawezekanaje watu wawili wasiokuwa na mawasiliano mazuri kama wanavyo fahamu wao kuweza kupiga picha!
Babu tale amezungumza na kuweka wazi jambo hilo kuwa msanii wake hana tatizo lolote na mkongwe huyo wa Bongo flavour bali ni upinzani wa kibiashara tu ambao unafaida kwa muziki wa Bongo Flavour na ndio unafanya muziki wa Bonngo Flavour usonge mbele.
Babu tale pia alizungumzia sababu za Diamond kuto hudhuria katika hafla hiyo na kuukanusha ule uvumi ulokuwa ukisema kuwa Diamond hakufika eneo lile kwa sababu alijua Alikiba atakuwepo.
“Ngoja niwatoe hofa watanzania mimi siwezi kuwa na tatizo na Ali hata siku moja, mimi ni mfanya biashara wa muziki, leo niko na Diamond kesho naweza kuwa na ALi. napia niwatoe hofu kuwa hata siku moja nasibu pi hawezi kuwa na matatizo na ALi hizo ni chalenji za kibiashara ambazo zinakuza muziki wetu. Alisema Babu Tale. Msikilize hapa chini.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






