
Mastaa wa kundi maarufu la muziki wa Bongo Flava YA MOTO BAND
kutokuwa na maelewano mazuri kati yao na inaelezwa kuwa hivi karibu muimbaji Aslay aliamua kuondoka kwenye nyumba waliyopangishiwa maeneo ya Tabata na kuamua kuishi mwenyewe na mke wake pamoja na mtoto wao.
Soudy Brown amezungumza na meneja wa kundi hilo aitwaye Chamboso ambaye ameeleza kuwa kuondoka kwa Aslay kwenye nyumba hiyo haina maana kwamba wamegombana kwenye kundi lao ila ni maamuzi yake mwenyewe na inawezekana sababu ni kuwa na familia hivyo anataka kuwa huru.
“Hakuna mvutano bwana, kwani kama Aslay kahama Tabata ndio kuna mvutano? hakuna chochote na show zinaendelea kama kawaida hata juzi kwenye uzinduzi wa band ya taarab ya TMK walikuwepo na waliimba kila pamoja na wako pamoja mimi ni meneja wao nashinda nao kila siku nakuhahakishia hakuna tatizo” – Meneja Chambuso
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





