
HAPO awali ushindani kwa mastaa ulikuwa ni ufahari katika maisha kama vile kushindana kuvaa, pesa, majumba ya thamani na magari. Hali imebadilika hivi sasa, mastaa wanashindana watoto, kila mmoja anataka mwanaye awe juu kumzidi mwingine.
Tukianza na mtoto wa Nasib Abdul ‘Diamond Platnumz’, Princess Tiffa amekuwa gumzo kila kukicha kwa mtoto mdogo kuwa na jina kubwa kuwashinda watoto wengine kutokana na ustaa wa wazazi wake.
Mtoto wa Hemed Suleiman (PHD)
Hali hiyo imekuwa pia kwa mastaa wengine ambao nao wanawaandaa watoto wao kuwa mastaa. Mtoto wa staa wa filamu Bongo, Hemed Suleiman, anaonekana kuwa gumzo kwa kusifiwa na mashabiki wa Hemed (PHD) kuwa mtoto huyo ni mzuri kuwashinda watoto wengine kwa muonekano.
Dina Marious na mwanaye.
Aidha Babu Tale ameonekana mara nyingi katika mitandao ya kijamii akiweka alama za mitihani ya mwanaye zikionesha ufaulu wa mtoto wake. Mtoto wa Aunt Ezekiel na Moze Iyobo dansa wa Diamond naye ametajwa katika watoto gumzo mtandaoni ambao wanafuatiliwa na mashabiki wengi zaidi kutokana na ustaa wa wazazi wake.
Watoto was Zamaradi Mketema.
Wapo watoto wengi kama vile Mariam mtoto wa MC Pilipili, Juju mtoto wa Zamaradi Mketema, mtoto wa Munaa Love, mtoto wa Esma Platnumz na mzazi mwenzake Petit Man Wakuache, Mtoto wa Tudd Thomas, mtoto wa Kajala, mtoto wa Faiza Ally, mtoto wa DJ Choka, mtoto wa Dina Marious na wengine wengi.
Paula Paul mtoto wa ‘Kajala’ akiwana rafiki yake.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33











