
Msanii wa filamu, Wastara Juma ameweka wazi sababu kubwa ambayo ilimpelekea kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Bondi Bin Salim na kwenda kuolewa na Mbunge wa jimbo la Donge, Sadifa Khamis Juma kisha kuachana naye na kurudiana tena na mpenzi wake
Akiongea kwenye kipindi cha Friday Night Live cha (EATV) Wastara anasema aliamua kuachana na Bond kutokana na tabia yake ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya mirungi na pombe pamoja na tabia zingine ambazo yeye alishindwa kuvumilia na kuamua kuachana naye.
“Ukweli ni kwamba kuna issue nzito ilitokea kati ya mimi na Bond mpka Bond mwenyewe aliamua kutoa ushuhuda na kutubu juu ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya mirungi, mpka aliamua kuondoka mwenyewe kwenda mbali na mazigira ambayo mimi nilikuwa naishi, alikuwa anatafuta njia ya kujisaidia ili aache vile vitu ambavyo binafsi nilikuwa sivipendi, kwanza kwenye mahusiano kulikua hakuna uaminifu kabisa, ilifikia hatua mpka kuna watoto wengi sana walikuwa wanaletwa wengine ni kweli wengine wa uongo vile vitu binafsi kama mwanamke vilikuwa vinaniumiza” alisema Wastara
Mbali na hilo Wastara anasema baada ya hapo familia yake ilimshawishi aweze kuolewa na Mbunge huyo Sadifu ambaye alikuwa anahitaji kuwa naye na kusema aliwasikiliza sababu siku zote familia yake huwa inaiweka mbele na kuwasikiliza na kuamua kwenda kuolewa na Mbuge lakini anasema baada ya kuingia huko alikutana na matatizo mara kumi ya alipotoka hivyo ndoa hiyo ilimshinda ndani ya siku sabini na kitu na kuamua kuachana naye.
Wastara alizidi kuelezea kuwa baada ya hapo Bond alirudi toka reharb akiwa ameachana na tabia zake zile na alijiridhisha kuwa sasa amebadilika hivyo akarudiana naye na wanaendelea kuishi pamoja mpka sasa kama wapenzi.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






