Majengo Yaliyojengwa Kwenye Hifadhi ya Barabara Masaki Kubomolewa

7 years ago92 Views

Miongoni mwa maeneo maarufu yatakayobomolewa kwa kutekeleza agizo la Wakala wa barabara za mijini na vijijini(TARURA) ni Elements, Eaters Point, Didis, Buckets, Jackies, Shangrilla na Mishkaki

Meneja TARURA Wilaya ya Kinondoni, Leopold Runji amesema kama hawataondoa wenyewe kama walivyokubaliana wataondolewa kwa nguvu

Amesema “Tulikubaliana tangu Juni, 2018 lakini wamedharau kuondoka au kubomoa wao wenyewe, juzi tumeweka ‘X’ kuwakumbusha hatuna muda wa kuwapa waondoe sasa”

Kuhusu wanaodai wamepewa vibali na Manispaa Vya kuendelea kufanya shughuli zao amesema, “Kikao walikaa na TARURA, siyo manispaa na TARURA ndiyo inayoshughulika na barabara.”

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.