Kufatia bodi ya filamu kumfungia msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu kutojihusisha na kazi za filamu kwa muda usiojulikana kutokana na video iliyosambaa ya kukiuka maadili ya kitanzania.
Leo bodi hiyo imemfungulia msanii huyo kuendelea na kazi zake za sanaa kutokana na kujidhihirisha pamoja na masharti waliyompatia kuyatekeleza na kuhaidi kujirekebisha.
Taarifa kamili inakuijia hivi punde
from MICHUZI BLOG https://issamichuzi.blogspot.com/2019/02/breaking-news-wema-sepetu-afunguliwa.html
via

