Kiwanda cha Bora kilichopo barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam kimetetea kwa moto, uliowaka tangu saa 10 alfajiri leo. Jeshi la Zima Moto linaendelea na jitihada za kuzima moto huo, lakini chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.
Baadhi ya Wananchi wakishuhudia tukio hilo
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ECJD86
via