
Bei ya fungu la Magimbi ni kati ya sh.1000/= mpaka 2000/= katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam kama inavyo onekana katika picha.

Baadhi ya wananchi wa maneo mbalimbali katika jiji la Dar es salaam wakiwa katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala wakijipatia mahitaji yao mbalimbali ambapo na Maboga moja ni sh. 1000 mpaka 4000 Magimbi ni sh.1000 mpka 2000 (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
pichani ni Maboga moja ni sh. 1000 mpaka 4000 (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Bei za fungu la viazi katika soko la Kinyerezi wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam kama inavyo onekana katika picha.
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2VuIxR8
via


