Waziri wa zamani Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi (Pichani), amefarikiu dunia jijini Dar es Salaam.
Taarifa zimesema, Ngwilizi amefariki leo asubuhi katika Hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akipokea matibabu.
Ngwili aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Mlalo, Lushoto, mkoani Tanga, Waziri wa TAMISEMI na Mwenyekiti wa Kamati moja ya Bunge.
from CCM Blog http://bit.ly/2HIqTVf
via

