Kampuni ya mbolea ya OCP imeendelea kutoa mafunzo ya kilimo bora katika mikoa ya Songwe na Njombe.Mafunzo hayo yanatolewa bure sambamba na upimaji wa afya ya udongo yanayotarajiwa kuwafikia wakulima zaidi ya 20,000 katika awamu yake ya kwanza.
Mmoja wa wakulima akitoa shukrani kwa niaba ya wakulima wa mikoa ya Songwe na Njombe mara baada ya mafunzo ya kilimo bora yaliyotolewa jana na Kampuni ya mbolea ya OCP.
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2QeQ7OL
via


