Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Mtwara, Mhashamu Gabriel Mmole katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la Watakatifu Wote Mjini Mtwara, Mei 21, 2019. Kulia ni Askofu wa Jimbo la Geita na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Flavian Kasalla.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Mtwara,Mhashamu Gebriel Mmole kwenye Kanisa Kuu la Watakatifu Wote mjini Mtwara, Mei 21, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Askofu wa Jimbo Katoliki la Mtwara, Titus Joseph Mdoe katika mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo Katolki la Mtwara, Mhashamu Gabriel Mmole yaliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la Watakatifu Wote mjini Mtwara, Mei 21, 2019.
Waombolezaji wakiuweka kaburini mwili wa Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Mtwara, Mhashamu Gabriel Mmole katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la Watakatifu Wote mjini Mtwara, Mei 21, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la Askofu Mstaafu wa Jimbo la Mtwara, Mhashamu Gebriel Mmole katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa Kuu la Watakatifu Wote mjini Mtwara, Mei 21, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mheshimiwa Benjamin Mkapa wakishiriki katika Ibada ya mazishi ya Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoloki la Mtwara, Mhashamu, Gabriel Mmole iliyoongozwa na Askofu wa Jimbo la Mtwara,Titus Mdoe (kushoto) kwenye Kanisa Kuu la Watakatifu Wote mjini Mtwara, Mei 21, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka shada la maua kwenye kaburi la Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Mtwara, Mhashamu, Gabriel Mmole katika mazishi yaliyofanyika kwenye Kanisa la Watakatifu Wote mjini Mtwara, Mei 21, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2QhmzQI
via







