RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Alhajj Ali Mohamerd Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili katika Viwanja vya Maisara Suleiman mjini Unguja, kushiriki Swalah ya Eid Fitr leo,5-6-2019. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
from CCM Blog http://bit.ly/2MEICCK
via
