Rais Uhuru Kenyatta akiwa na Mwenyeji wake Rais Dk. John Magufuli, wakati akimjulia hali mama wa Rais Magufuli, Bibi Suzana Magufuli anayeendelea kupatiwa matibabu nyumbani kwa Rais Magufuli, Chato Mkoani Geita ambako pia Rais Uhuru atalala kabla ya kumaliza ziara yake binafsi ya siku mbili na kurejea nchini Kenya kesho.
from CCM Blog https://ift.tt/32e6ctG
via

