Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Profesa Justinian Ikingura(kushoto) akipata maelezo alipotembelea banda la taasisi hiyo katika maonesho ya 43 ya kimataifa ya biashara yanaendelea katika viwanja vya sabasaba kwa lengo la kuangalia jinsi taasisi hiyo ilivyoshiriki.
Mwenyekiti wa Bodi ya GST, Profesa Justinian Ikingura akuzungumza na wataalam wa GST juu ya kazi mbalimbali zinazofanywa na taasisi hiyo, ikiwa pamoja kutoa msisitizo juu ya kuendelea kutoa taarifa kwa jamii za matokeo ya tafiti mbalimbali za jiosayansi zinazofanyika ili ziweze kutumiwa na kuleta tija katika sekta ya madini na sekta nyingine za kiuchumi.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2Jo0q0U
via



