MCHEZO wa Dar es Salaam Derby kati ya Yanga dhidi ya Azam FC, utakaopigwa Jumamosi, Novemba 2, uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi badala ya Benjamini Mkapa, jijini.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu, Almas Kasongo amesema wengi walitamani mechi ichezwe uwanja wa Benjamini Mkapa, waliwaandikia barua wamiliki wa uwanja huo, bahati mbaya kutokana na uwanja huo uko kwa maboresho.
“Maombi yao hayakuweza kukubaliwa lakini unaweza kuelewa kwamba uwanja upo katika matengenezo makubwa na mkandarasi anahitaji muda zaidi na amepewa tarehe ya mwisho wa kukamilisha hiyo kazi kwa hiyo.
Imeonekana itakuwa changamoto ya kuweza kumsimamisha kutoendelea na hilo jambo kuwaruhusu Yanga. Kwa hiyo wamekataliwa tafsiri yake ni kwamba muda wa kikanuni kuwa wanaweza wakaenda nje, uwanja wao wa nyumbani unaweza usipate zile siku 21,” amesema Kasongo.
Amesema kwa hali hiyo kwa mujibu wa kanuni Yanga wanatakiwa kucheza uwanja wake wa nyumba ambao (Azam Complex), bodi kushirikiana na Yanga, wamiliki wa uwanja wako katika mazungumzo ya jinsi ya viingilio ili kuweza kuangalia takwimu za mashabiki watakaoingia kulingana na idadi ya uwanja
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







