Naibu Waziri, Wizara ya Kazi Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mh.Anthony Mavunde akizungumza na Wageni waalikwa kutoka makampuni mbali mbali yaayojihusha na Tehama, wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali walisoma mambo ya Tehama na wageni waalikwa (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya kwanza ya kazi za Teheama nchini Tanzania yalioandaliwa na Huawei Tanzania jijini Dar es Salaam jana.
Naibu Waziri, Wizara ya Kazi Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mh.Anthony Mavunde akisalimiana na baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali wakati wa uzinduzi wa maonesho ya kwanza ya kazi za Teheama nchini Tanzania yalioandaliwa na Huawei Tanzania jijini Dar es Salaam jana.
Naibu Waziri, Wizara ya Kazi Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mh.Anthony Mavunde akisaini mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi wa Maonesho ya kwanza ya kazi za Teheama nchini Tanzania yalioandaliwa na Huawei Tanzania jijini Dar es Salaam jana.
Naibu Waziri, Wizara ya Kazi Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Mh.Anthony Mavunde akiwa kwenye picha ya pamoja na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbalibali walisoma mambo ya Tehama wakati wa uzinduzi wa Maonesho ya kwanza ya kazi za Teheama nchini Tanzania yalioandaliwa na Huawei Tanzania jijini Dar es Salaam jana.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2JMYX3o
via




