Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki katika Ukumbi wa AICC, Arusha.(Picha na Jeshi la Polisi)

Washiriki wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za
Afrika Mashariki wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa
Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo.
(Picha na Jeshi la Polisi).

Washiriki wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za
Afrika Mashariki wakifuatilia hotuba ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa
Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo.
(Picha na Jeshi la Polisi).

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz
akisalimiana na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo (CP), Liberatus
Sabas mara baada ya kufungua Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol
(NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki (kushoto kwake) ni Mkuu wa Interpol
Tanzania Naibu Kamishna wa Polisi (DCP), Daniel Nyambabe. (Picha na
Jeshi la Polisi).

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz akiwa
katika picha ya pamoja na Wakuu wa Interpol (NCB) kwa nchi za Afrika
Mashariki wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Interpol
(NCB) kwa nchi za Afrika Mashariki (Picha na Jeshi la Polisi).
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/301i5p7
via

