ALIYEKUWA Rais wa Simba Evance Aveva na makamu wake Nyange Kaburu wamekutwa hawana kesi ya kujibu katika kesi ya utakatishaji.
Wawili hao walikuwa wanatuhumiwa kwa makosa ya utakatishaji ila upande wa mashtaka umeondoa shtaka hilo na sasa watapatiwa dhamana.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/32WhVN3
via

