Mbadala wa Aucho Aigomea Yanga ….Soma Hapa

Admin Updates1 month ago11 Views

 

Yanga wameanza mapema kukifanyia maboresho kikosi chao kuelekea msimu ujao, baada ya kupiga hodi kuulizia huduma ya kiungo mkabaji, James Akaminko kama mbadala mpya wa nyota wao, Khalid Aucho ambaye umri umemtupa sana.

“Nimesikia taarifa hizo, lakini siwezi kueleza chochote bali uongozi wangu (Azam) ndio unajua kila kitu. Kazi yangu ni kucheza soka na naendelea kupambana ili kuhakikisha timu inafikia malengo hayo mengine sio kazi yangu kuyazungumzia,” alisema Akaminko.


Alipoulizwa kama anaweza kujiunga na Yanga, alisema hawezi kuzungumzia, ila anahisi kwamba itakuwa ngumu kwake kwa vile maslahi anayopata Azam ni mazuri zaidi kuliko ofa ya Yanag na pia kiu yake ni kuitumikia kwa muda mrefu na kuipa mafanikio Azam kwa kitendo cha kuaminiwa na kumpa maslahi bora.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.