Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Sept 25,2019 ameshiriki Kwenye shuhuli ya kuaga Mwili wa Mtoto wa Mkuu wa Majeshi Nchini Nelson Mabeyo aliyefariki kutokana na ajali ya Ndege, Hafla hiyo imefanyika nyumbani kwa Jenerali Venance Mabeyo Msasani Jijini Dar es Salaam. Mwili wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa baadaye kuelekea Mwanza kwa mazishi.
from CCM Blog https://ift.tt/2lNN2dH
via







