Zari Ajibu Mapigo ya Baba Watoto Wake (Diamond)

8 years ago105 Views


Zari Ajibu Mapigo ya Baba Watoto Wake (Diamond)
.
Shutuma za Kuchepuka alizorushiwa Na Baba Watoto wake wawili ambae ni (Diamond Platnumz) zari Amepangua shuti la Tuhuma hizo, kwa kudai kuwa mwanaume aliyeonekana nae wakiwa wanakoga ni binamu Wa Marehem #IvanDon (Binamu kinyama cha hamu) na alie piga Picha ni Mke wa binamu huyo kama hapo unavyowaona kwenye picha
.
Zari ameandika kuwa alikutana nao kwa Bahati Mbaya kwenye Spa, Na akajitetea kwa kusema “Unapokua mwanamke muaminifu kwenye mahaba, mwanaume atakua anatafuta visababu ambavyo havipo Ili kuficha Machafu Yake na kugeuza Story za usaliti anaoutenda kwa kuhisi ww haujui, Chibu Nakuona Nakuonaaaaa

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.