Mtayarishaji wa vipindi, na mzazi mwenza wa Ruge Mutahaba, Zamaradi Mketema leo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameunga mkono kampeni ya kumchangia Mkurugenzi wa Vipindi vya Clouds Media, Ruge Mutahaba ambaye yupo Afrika Kusini kwa matibabu.
Jana kwenye mahojiano na Clouds TV kwenye kipindi cha 360 mdogo wa Ruge, Mbaki Mutahaba alieleza kuwa Ruge anasumbuliwa na tatizo la figo ambalo limepelekea matibabu yake kuwa ya gharama zaidi kuliko kawaida ambapo amesema kwa siku anaweza kutumia milioni 5 hadi 6 kwa ajili ya matibabu pekee.
Mapema leo Zamaradi Mketema ameunga mkono kampeni hiyo kwa kuwataka watu mbalimbali kutuma jumbe za faraja na wenye chochote kutuma kwenye namba ya mdogo wa Ruge, kwani gharama za matibabu ya Ruge zimekuwa kubwa sana kuliko kawaida.
”Mbaki Mutahaba ambae ni mdogo wa Ruge Mutahaba ameeleza kwamba ni wazi kwamba gharama za matibabu ya Ruge ni kubwa mno. Amesema Rais Dkt Magufuli na wengine walichangia lakini gharama hizo ni kubwa kuliko kawaida. ”Gharama za matibabu kwa kule ni kubwa kwa siku inaweza kufika milioni 5 mpaka 6, kuna namba ambayo imeandikishwa kwa jina la mdogo wake, Kemilembe Mutahaba 0752 222 210 hiyo ndiyo namba ambayo watu wanaweza kutuma sms za pole, faraja na hata wengine ambao wangetamani kutuma chochote.” Mbaki Mutahaba.-Ameandika Zamarad
Mbaki Mutahaba ambae ni mdogo wa #RugeMutahaba ameeleza kwamba ni wazi kwamba gharama za matibabu ya Ruge ni kubwa mno. Amesema Rais Dkt Magufuli na wengine walichangia lakini gharama hizo ni kubwa kuliko kawaida. “Gharama za matibabu kwa kule ni kubwa na kwa siku inaweza kufika milioni 5 mpaka 6, kuna number ambayo imeandikishwa kwa jina la mdogo wetu, Kemilembe Mutahaba 0752 222 210 hiyo ndiyo number ambayo watu wanaweza kutuma sms za pole, faraja na hata wengine ambao wangetamani kutuma chochote”. Mbaki Mutahaba
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2DTzqCN
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







