Mwanadada Wema sepetu amefunguka na kukanusha taarifa zinazosambaa siku nyingi katika mitandao ya kijamii na kusema kuwa alikwenda nje ya nchi kwa ajili ya kuata utmbo ili kupunguza unene na uzito.
Hata hivyo maneno hayo yanakuja baada ya mwana dada wema sepetu kuoneana alipungua mwili kila siku kiasi kwamba mashabiki zae wamekuwa wakipata wasiwasi na afya yamsanii wao.
Wema anasema kuwa kitu kikubwa kilichomfanya kwenda nje ni kwa ajili ya kuangaika swala lake la kupata mtoto na hata alipoenda huku aliambiwa kuwa anatakiwa kupunguza mafuta ili aweze kupata mtoto kwa sababu mara nyingi hata mafuta usababisha kukosa kupata mimba.
Wema anasema kuwa kinachomfanya akonde kila siku ni stress za hapa na pale lakini pia amekuwa akinywa dawa ambazo zinamsaidia kupunguza uzito na kupunguza mafuta pia.
Utumbo wangu mimi sijawahi kukataam wala kupunguza, nilivyosafiri na kwenda India, nilienda kwa sababu ya tumbo langu lakini niliambiwa kuwa mara nyingi kukosa mtoto husababishwa na Mafuta.Hivyo nilipewa vidonge kwa ajili ya kupunguza mwili na mafuta.
Share
from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2V64Yfs
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







