Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Hamis Ulega ambaye alikuwa Mgeni Rasmi akimuwakilisha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametembelea banda la ETDCO katika Maonesho ya Samia Construction Sector Day & Exhibition 2025 Super Dome Masaki, Dar es Salaam ambapo ETDCO iliibuka mshindi katika Katika Kipengele cha Mkandarasi bora wa Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme.

Mhe. Ulega ameipongeza ETDCO kwa kazi kubwa inayofanywa katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini. Aidha, amewasihi kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kuutangaza mchango wao ili wananchi watambue kazi kubwa inayotekelezwa na ETDCO katika kuimarisha sekta ya umeme. âš¡

Baadhi ya wawakilishi wa Kampuni ya ETDCO ambayo imeibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha Mkandarasi Bora wa Ujenzi wa Miundombinu ya Umeme, katika Tuzo za Dunia za 32 zilizoandaliwa na Baraza la Ujenzi na Miundombinu Tanzania (The Chamber of Construction and Infrastructure of Tanzania – CCIT), zilizofanyika, Agosti 21, 2025, katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki – Dar es Salaam.

Soma Magazeti ya Leo Ijumaa,22 Agosti 2025
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33