Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene ameiomba klabu ya Simba kama imebaini vitendo vya rushwa katika mchezo wake dhidi ya Yanga SC uliochezwa November 5, 2023 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam itoe taarifa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ( TAKUKURU) Manispaa ya Temeke ili hatua ziweze kuchukuliwa.
Simbachawene amesema hayo leo November 8, 2023 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Nyongeza la Mbunge wa Makete, Festo Sanga aliyetaka kujua mkakati wa Serikali kupambana na rushwa michezoni akitolewa mfano baadhi ya Wachezaji wa Simba kusimamishwa kwa madai ya kuwepo kwa viashiria vya rushwa katika mchezo huo.
Awali akijibu Swali hilo Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema Wizara kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekua ikipinga vitendo vya rushwa michezoni ambapo kwa kushirikiana na TAKUKURU wamekua wakitoa Elimu kuhusu suala hilo na kwamba tayari wameaanzisha Kampeni inayoitwa “Kataa upangaji wa matokeo, linda hadhi ya mpira wa miguu” ambayo inaendelea kuleta matokeo mazuri pia kushirikiana na Wadau wengine wa michezo vikiwemo vilabu husika kupinga vitendo hivyo.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







