Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Bw. Gerald Kusaya akichangia hoja wakati wa kikao cha kujadili Bajeti ya Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) katika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome Jijini Dodoma.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia ( Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana akiongoza kikao cha kujadili Bajeti ya Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya katika (DCEA) kaika Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu Ngome Jijini Dodoma.
Baadhi ya washiriki katika kikao hicho ambao ni watumishi wa ofisi ya mamlaka ya udhibiti wa dawa za kulevya wakimsikiliza na kushiriki mjadala huo wa bajeti uliofanyika chini ya Kamishna Gerald Kusaya pamoja na Waziri Dkt. Pindi Chana.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








