Live! Hakuna siri tena kati ya staa wa Bongo Movies, Wastara Juma na Mtangazaji wa Kipindi cha Action and Cut kinachorushwa kupitia Televisheni ya Channel Ten, Bond Bin Sinan baada ya kuonesha mahaba niue kwa kulishana keki kwa staili ya njiwa kwenye ‘bethidei’ ya mwigizaji huyo.
Habari kutoka kwa shushushu wetu zilidadavua kwamba, mpango mzima ulijiri kwenye bonge la pati ya kuzaliwa kwa Wastara iliyochukua nafasi katika Hoteli ya Sun-Rise iliyopo Kigamboni jijini Dar.
Katika pati hiyo ya kimyakimya, Wastara aliwaalika baadhi ya ndugu na marafiki zake ambapo mtangazaji huyo alikuwa mgeni maalum.
Sosi wetu huyo alitanabaisha kuwa walipofika hotelini hapo, baada ya watu kuanza kupata vinywaji ulifika muda wa keki ambapo Wastara aliwalisha watoto wake na baadhi ya ndugu wa karibu kisha alimuita mtangazaji huyo na kulishana naye keki kwa staili hiyo iliyogeuka gumzo“Unajua wale ni wapenzi lakini siku zote hawajawahi kuweka wazi uhusiano wao hadharani lakini sasa naona Wastara ameamua kuweka kila kitu wazi,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kumegewa ‘ubuyu’ huo, Ijumaa Wikienda lilizungumza na Wastara ambapo alifunguka kuwa wageni wote aliowaalika aliwalisha keki kwa staili hiyo kuonesha ni wapenzi wake wa kweli.
“Jamani wageni wangu wote niliowaalika niliwalisha kwa staili hiyo na hao ndiyo wapenzi wangu wa ukweli kwa sababu hata watoto wangu na dada zangu niliwalisha kwa mdomo pia,” alisema Wastara.

Chanzo: GPL
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33