
Zipo sababu mbalimbali ambazo huchangia mahusiano mengi ya kimapenzi kufa, na miongoni mwa tabia hizo ni pamoja na zile tabia ambazo wanawake hao wamekuwa wakiziendekeza na miongoni mwa tabia hizo ni kama ifutavyo;
- Kauli mbaya kwa mmewe. Unakuta mwanamke anarepu mbele ya mme wake utafikiri kafingiwa mota mdomoni.
- Uchafu. Unakuta baadhi ya wanawake akioga usiku mpaka usiku mwingine. Ngua ya ngani ukiangalia utafikiri mafundi wapiga plasta ukuta.
- Kukataa kufanya tendo la ndoa wakisingizia wamechoka.
- Dharau.
- Kuwa na michepuko ya wanaume wa nje.
- Pesa. Wanawake wakipata pesa uona wanaume wao si lolote.
- Elimu. Mwanamke akisoma na kumzidi mmewe basi anaona hata tendo la ndoa kufanyika maamuzi ni yake mwenyewe. Upatikanaji wa elimu kwa mwanamke umesababisha mahudiano mengi kufa.
- Madaraka. Ukifanya utafiti mdogo tu utakuta wanawake walio wengi wenye madaraka hawapo kwenye ndoa. Wanaona kupata madaraka basi na masuala ya kimapebzi hayana nafasi yena.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






