Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti asema Dr. Mwaka…..Je ni kweli hii kauli yake?..Soma hapa

9 years ago99 Views

Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa hali ya juu ili asiumize hisia zako.wanaume wasiochet ni wale wagonjwa na makasisi wacha Mungu tu. Wengine wooote tupa kule.

Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wanaume, Na ukweli unabaki palepale kuwa asilimia 99 ya wanaume wanatoka nje ya ndoa au mahusiano yao tena bila kuwa sababu ya msingi they just do haimaanishi kwa kufanya hivyo hawawapendi wake zao bali ni maumbile yao ndio yanawatuma hivyo. Kwahiyo kama umeolewa au una mpenzi ukimakamata na mwanamke mwingine usimhukumu kwa KUCHEAT bali mhukumu kwa KUCHEAT KIPUMBAVU mpaka akakamatwa wakati wenzake wanacheat na hawakamtwi.

najua kuna mikunguru minafiki itakuja hapa na kubisha ila ukweli ndio huo – By Dr JJ MWAK

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.