Jumla ya wanafunzi 50 wanaosoma kozi mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Iringa wamelazimika kufukuzwa chuo baada ya kudukua mfumo wa ada na kukisababishia chuo hicho hasara ya zaidi ya milioni 30.
Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Ndelilio Urio amesema kubainika kwa udanganyifu wa wanafunz hao ni mra baada ya kubadilisha mfumo wa malipo kupitia control namba nakubaini udanganyifu uliojitokeza kwa baadhi ya wanafunzi kughusi malipo na kukiibia chuo ambapo wanafunzi zaidi ya mia mbili walibainika huku baadhi yao wakifutiwa matokeo yao.
Katika hatua nyingine uongozi wa chuo hicho umekanusha tuhuma zilizotolewa na mbunge wa viti maalumu mkoa wa lindi Maimuna Ahmad Pathan, wakati akichangia hoja ya Wizara ya Elimu kwa madai kuwa chuo hicho kina uongozi dhaifu ,mfumo dhaifu wa ulipaji malipo na kuwatoza ada wanafunzi mara mbili.
Akitoa ufafanuzi juu ya tuhumu hizo Makamu Mkuu wa Chuo Profesa Urio amesema chuo hicho kina mfumo wa fedha ambao namba za kufanyia malipo hutengenezwa na kutumwa moja kwa moja kwa mwanafunzi husika kupitia barua pepe yake au namba ya simu.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







