Wafungwa 1,036 Wasamehewa Kwa Msamaha wa Rais Samia

Wafungwa 1,036 Wasamehewa Katika kuadhimisha Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa elfu moja na thelathini na sita (1,036) Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Mhe. George Simbachawene imeeleza kuwa wafungwa … Continue reading Wafungwa 1,036 Wasamehewa Kwa Msamaha wa Rais Samia