
Kwa mara ya kwanza Zari the Bossy Lady ambaye ni mama watoto wa msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Diamond Platinumz amefunguka kuhusu sababu za kuachana na C.E.O huyo wa kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), amesema Diamond hakutegemea alichokipost kwani siku kabla ya kuachana walikuwa wamechuniana kwa takribani muda wa wiki tatu mfululizo, huku akiwa ameifungia simu yake, ”Block”.
Zari akiwa nchini Uingereza amepata nafasi ya kuzungumza na Bbc Swahili na kufunguka kila kitu kuhusu ishu nzima mpaka kufikia maamuzi hayo ya kutangaza kwenye akaunti yake ya instagram kuachana na Diamond katika siku ya wapendanao.
‘’Kwanza I didn’t think ali expect my post he didn’t see it coming ,nimekaa sana mda mrefu nikajifikiria vitu vingi nikasema unajua ni nini I need to post this, I need to end this..tulikuwa tuna jaribu ku move forward kuhusu hiyo skendo eti amepata mototo, lakini leo unasikia hivi unaona vile eti kukumbatiana na ma x kwenye public ni vitu vya kunidharirisha vitu vya kunifanya niwe very disrespected na watoto wangu’’, amesema Zari.
Zari amesema saivi hata akitembea kwa miguu kwenda kumuomba msamaa hawezi kumsamehe kwa sababu Imani juu yake imekwisha, na amesema kwa sasa haitaji kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mwingine.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





