
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kupitia Mwenyekiti wake Kheri James umesema kwa sasa umemsamehe Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa baada ya kutangaza kurejea chama hicho.
Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari na kusema umoja huo umeona hauna budi kuanza kurasa mpya na Waziri Mkuu huyo wa zamani na kutaka watu ambao wanaamini Lowassa ni mkosefu wajitokeze.
Kheri James amesema, “amekiri na anaanza upya na ndiyo maana hakurudishiwa uanachama wake wa zamani bali ameenda katika tawi lake na kuomba upya uanachama wa CCM.”
“Kila anayetaka kuwa mwanachama anatakiwa kufuata utaratibu kama wanachama wengine wanavyofanya,” amesema Kheri.
Marchi 1, 2019, Edward Lowassa alitangaza kurudi ndani ya Chama Cha Mapinduzi baada ya kukaa nje ya chama hicho kwa zaidi ya siku 1312.
from MALUNDE 1 BLOG https://ift.tt/2TtRDBf
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





