Ummy Nderiananga Achukua Fomu kuwania Ubunge Viti Maalumu Wanawake Wenye Ulemavu

Masama BlogKITAIFAMATUKIOSIASA1 week ago48 Views

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Wenye Ulemavu  Ummy Nderiananga  Juni 30,2025 amechukua fomu ya kugombea Ubunge Viti Maalum kundi la Wanawake Wenye Ulemavu.

Nderiananga amekabidhiwa fomu hiyo katika Ofisi ya  Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na Katibu UWT  Mkoa wa Kilimanjaro  Ndug. Jane Chatanda.

Leave a reply

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...