Baada ya ukimya wa muda mrefu Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imefunguka kuwa itatangaza rasmi tarehe ya Uchaguzi wa Yanga Machi 5 mwaka huu.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Ally Mchungahela ameeleza kuwa tayari wameshakutana na Viongozi wa Yanga kumalizana na sasa kinachosubiriwa ni kutangazwa kwa tarehe nyingine.
Ikumbukwe kuwa uchaguzi huo ulipaswa kufanyika Januari 13 mwaka huu lakini kutokana na baadhi ya wanachama kufungua kesi Mahakamani kusimamisha mchakato huo ilipelekea pia zoezi la uchaguzi kusimama.
“Uchaguzi wa Yanga utafanyika, hakutakuwa tena na mchakato mwingine mpya bali utaendelea palepale ulipokuwa umefikia, tarehe 5 Machi tutatangaza rasmi tarehe mpya ya uchaguzi wa Yanga na naamini utafanyika” alisema.
Mchungahela ameeleza kuwa anaamini mpaka kufikia siku hiyo kila kitu kitakuwa sawa na hakuna kizuizi kingine ambacho kitafanya mchakato huo usimame.
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2tEeUkO
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







