Picha ya Kumbukumbu ikiwaonyesha Wanachama wa Chama Cha mapinduzi baada ya kikao cha Kamati kuu ya CCM miaka ya 2012-2013 katika ukumbi wa White House Dodoma ambapo picha hii ilipigwa miaka zaidi ya 10 iliyopita na katika picha hii kutoka kushoto yupo aliyekuwa Waziri na Naibu Waziri katika Wizara mbalimbali Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa sasa,Mjumbe wa Kamati Kuu na pia aliwahi kuwa Mjumbe wa Bunge la Katiba ambaye kwa Sasa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan,Mzee Pandu Ameir Kificho ambaye alikuwa mjumbe wa Kamati Kuu,Spika wa Baraza la wawakilishi pamoja na Bunge la Katiba, Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi ambaye alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,na sasa ni Katibu Mkuu wa CCM Aliyewahi kuwa Meya wa Manispaa ya Ilala,Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Jerry Silaa ambaye kwa Sasa ni Mbunge wa Ukonga na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Cha Kujifunza ni kwamba Omba Sana Dua na Sala kwa Mwenyezi Mungu na usikate Tamaa katika Malemgo yako,Uuadilifu,Uwajibikaji na Uvumilivu ni Silaha kubwa za Kukufikisha katika Malengo yako na Hakuna Ajuaye Kesho yake Bali Mwenyezi Mungu.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 - Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33