Mwanaume mmoja ametolewa kutoka kwenye ndege moja iliyokuwa ikisafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Islamabad nchini Pakistan kwenda Dubai, baada ya kufanya maombi akimuomba ‘mungu wake’ kusababisha ajali ya ndege