7 years agoPeter Lijualikali na Susan Kiwanga Wafikishwa MahakamaniWabunge wawili wa Chadema, Peter Lijualikali (Kilombero) na Susan Kiwanga wa Mlimba na wenzao saba wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro baada ya kukamatwa na polisi. Kwa mujibu wa KaimuRead More