WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitomvumia mtu yeyote atakayebainika kuhujumu mkakati wake wa kulifufua zao la michikichi nchini. Amesema wanataka kuona wakulima zao hilo wakinufaika kama wengine wa mazao