Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe.Dorothy Gwajima, ametangaza kumtafuta mtoto ambaye video yake imekuwa ikisambaa kwenye mitandao ya kijamii akionekana kuchukua nafasi ya mshehereshaji (MC)