Serikali ya Uturuki imeahidi kuisaidia Serikali ya Tanzania kufanikisha mpango wa utoaji wa elimu bure kwa wanafunzi utakaoanza January mwakani. Hayo yalizungumzwa jana na Balozi wa Uturuki nchini Bi Yasemin