9 years agoCUF na CCM Watuhumiana Kwa Ubaguzi PembaWakati hali ikionekana si shwari visiwani Zanzibar baada ya kuwapo kwa madai ya kutengana, kubaguana na kuharibiana mali, vyama vya CUF na CCM vimetupiana mpira kwa kila kimoja kikimtuhumu mwenzake.Read More