JWTZ Lawatoa Hofu Wananchi…….Soma hii kauli yao kuhusu tarehe moja Septemba mwaka huu watakachofanya
Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo linaanza shamrashamra za maandalizi kuelekea siku ya maadhimisho ya 52 ya majeshi inayotarajiwa kufanyika Septemba Mosi mwaka huu kwa kufanya usafi na






















