7 years agoWanamuziki Davido na Wizkid Wametuma Meseji Kwa Bongo Flava Arena ipo London ndani ya The 02, mji uliojengeka kwa sanaa na michezo. Shoo ya muziki ndani ya 02 Arena huchukua watu 20,000. Kabla ya Mei 2018, haikufikiriwa kuwa 02Read More